Ayuda
Ir al contenido

Dialnet


Methodological implications of participant and researcher multilingualism: making language dynamics visible

  • Autores: Louise Rolland, Hannah M. King, Pernelle Lorette
  • Localización: Journal of multilingual and multicultural development, ISSN 0143-4632, Vol. 44, Nº. 8, 2023 (Ejemplar dedicado a: Methodological implications of participant and researcher multilingualism: Making language dynamics visible), págs. 645-656
  • Idioma: inglés
  • Títulos paralelos:
    • Tafsiri za kimethodolojia za wingilugha wa watafiti na watoataarifa: kubainisha mienendo ya lugha
  • Texto completo no disponible (Saber más ...)
  • Resumen
    • Multiple

      Lugha inaweza kuathiri mchakato wa utafiti kwa namna changamani. Toleo hili maalumu linaleta makala saba zinazojadili tafsiri ya kimethodolojia ya kufanya utafiti katika mazingira ya wingilugha; ambamo watafiti au washiriki wanamudu zaidi ya lugha moja. Makala zinachunguza uhusiano baina ya mitazamo ya watafiti kuhusu lugha na matumizi halisi ya lugha kwa washiriki, timu au miradi inayohusisha wingilugha, katika mitazamo mbalimbali ya kinadharia na kimethodolojia. Toleo hili maalumu pia linajadili unafasi, ikijumuisha watafiti wanavyojisikia – na pia wanavyochukuliwa – wanapofanya utafiti katika lugha ya kwanza (L1) moja au zaidi, lugha iliyojifunzwa baadae (LX), au lugha wasiyoifahamu (L0). Linatoa mifano hatua kwa hatua katika utekelezaji wa utafiti kiwingilugha, likizingatia maamuzi muhimu yahusuyo lugha ambayo huzingatiwa na watafiti katika utekelezaji wa tafiti zao, ambayo ni nadra kuchapishwa katika makala za tafiti. Hoja yetu ni kwamba urejelevu wa kiisimu ni njia muhimu, ambayo kwayo watafiti hufanya chaguzi maridhawa na huendelea kufanya tafakuri kuhusu dhima ya lugha katika kipindi chote cha miradi ya ya utafiti. Masimulizi haya fafanuzi, yatokayo katika miktadha tofauti ya kijiografia, yanatoa mafunzo yatokanayo na uzoefu halisi – unaoletwa kama maswali na kanuni – kwa lengo la kuwapa mwongozo watafiti katika isimu tumizi na katika nyanja nyingine katika safari msambao ya kutafiti kwa wingilugha.

    • English

      Language can impact the research process in complex ways. This special issue (SI) brings together seven contributions which discuss the methodological implications of researching in a multilingual world, where researchers and/or research participants are likely to know more than one language. The papers examine the relationship between researchers’ language ideologies and actual practices with multilingual participants, teams or projects, from a range of theoretical and methodological perspectives. The SI also considers positionality, including how researchers feel – and are perceived – when working in one or more first languages (L1), a later learned language (LX), or a language outside of their linguistic repertoire (L0). It provides practical examples of the stages of researching multilingually, focusing on key decisions that researchers make over the course of their projects, which are seldom made visible in research reports. We argue that linguistic reflexivity is an essential practice, through which researchers make informed language-related choices and continually reflect on the role of language(s) throughout their research projects. These illustrative accounts, from various geographic contexts, offer lessons from experience – distilled as questions and principles – to guide researchers in applied linguistics and beyond as they embark on the multifaceted journey of researching multilingually.


Fundación Dialnet

Dialnet Plus

  • Más información sobre Dialnet Plus

Opciones de compartir

Opciones de entorno